Zana za Biashara mahali pamoja – Kwa Vijana wa Tanzania 🇹🇿
Kuwasaidia vijana waweze kuanzisha biashara zao kwa urahisi na maarifa sahihi.
Msaada kwa wajiajiri wanaotafuta njia bora za kuendesha shughuli zao.
Kutoa elimu bora ya biashara inayofaa na inayoeleweka kwa kila mtu.
Kupunguza gharama za kuanzisha biashara kwa kutoa zana bure zinazohitajika.
Chagua zana unayohitaji na uanze safari yako ya biashara leo
Pata mawazo 150 yenye mitaji midogo kuanzia shilingi 30,000. Chagua biashara inayokufaa.
Angalia mawazo →Weka mtaji wako na upate orodha ya biashara unazoweza kuanzisha kwa mtaji ulionao.
Weka mtaji wako →Weka bidhaa unayotaka na zana itakupa mitaa ya chimbo lake Kariakoo na maeneo jirani.
Tafuta chimbo →Changamoto zote za biashara ambazo mfanya biashara anapitia — utazipata majibu hapa.
Soma mwongozo →Jua wito wako: je, una wito wa kuwa mfanyabiashara, mwajiriwa, au wa kujiajiri?
Jitathimini sasa →Calculator 11 — bajeti, matumizi ya nyumbani, kupanga bei, faida, na nyinginezo nyingi.
Tumia calculators →Jitengenezee jina la biashara, logo, business card, flier, tangazo na zana zote za branding.
Anza branding →Jibu maswali 10 mepesi na upate business plan yako ya kurasa 10 ya kitaalamu.
Tengeneza plan →Tengeneza proposal ya kitaalamu kwa benki, tender, au washirika wa biashara kwa dakika chache.
Tengeneza proposal →Anza na mawazo ya biashara — pata wazo linalolingana na mtaji wako sasa hivi.
Angalia Mawazo ya Biashara →